Mafundisho maalumu

Mpendwa Msomaji,
Bwana Yesu Asifiwe!

          Tunakushukuru kwa kuchukua hatua ya kuamua kujifunza Neno la Mungu pamoja nasi ili uweze kukua Kiroho. Hapo chini kuna orodha ya masomo tuliyofundisha maalum kwa ajili ya vijana katika sehemu mbalimbali kwa kadri Mungu alivyotuongoza hivyo bonyeza kichwa  cha somo ulichokipenda ili  nawe ushiriki tulichojifunza 

Mafundisho ya Vijana katika mfululizo kila wiki:   
  1. Mambo ya kutafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa au kuolewa
    - Utangulizi, wiki ya 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10 na 11.
  2.  
           Masomo haya pamoja na mengine mengi unaweza pia kuyapata katika kanda za Video na  za Redio Kaseti kwa kuagiza moja kwa moja kutoka ofisini kwetu Arusha au  kwa wakala walioko karibu na eneo ulipo. Ili kupata maelezo zaidi kuhusu kanda za Redio Kaseti bonyeza HAPA. Maelezo kuhusu kanda za video yanapatikana kwa kubonyeza HAPA.

No comments:

Post a Comment

mwakasege A moment of worship

ushuhuda